Kutenda sawa na Maagizo ya Mungu

Mungu anaweza!

Mimi Ukija Kwangu Ukaniambia Unao Ushuhuda, Mungu Amekupatia Gari, Nyumba, Pesa, Mavazi Au Chakula Au Material Things Za Aina Yoyote na Ukidhani Nitaungana Na Wewe Kuuita Muujiza Utakuwa Umekosea… Muujiza Si Yale Ambayo Baba Yetu Wa Mbinguni Anajua Tunayahitaji… Muujiza Si Yale Ambayo Hata Waabudu Miungu Wanaweza Kupata… Muujiza Ni Matokeo Ya Kiungu (Divine Results) Yaliyosababishwa Na Matumizi Sahihi Ya NENO LA MUNGU Kwenye Maisha Yako Ya Kila Siku!
“Naye Isaka Akalima Mwaka Ule [Wa Ukame Na Njaa] Na Kuvuna Vipimo Mia Kwa Kimoja, BWANA Akambariki. Na Mtu Huyu Akawa Mkuu, Akazidi Kustawi, Hata Akawa Mkuu Sana” (Mwanzo 26:12-13)
Maelekezo Ya Nini Alime, Wapi Alime, Namna Ya Kulima, Eneo La Kulima nk Isaka Aliyapata Kwa BWANA. Na Alipotenda Sawa Na Maelekezo; MUUJIZA UKATOKEA: Akavuna Katikati Ya Ukame Na Njaa!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: