Miujiza/Baraka Hutokea kwa Matarajio

..hutokea kwa wanaoamini

MIUJIZA/ BARAKA Ama Lolote Toka Kwa Mungu Karibu Mara Zote HAVITOKEI KWA WALE WASIO NA MATARAJIO/ MATEGEMEO YA KUPOKEA AU KUVIPATA TOKA KWA BWANA!
Yule Aliyekuwa Amepooza Kwa Miaka 38 Aliendelea KUTARAJI/ KUTEGEMEA MUUJIZA KWA BWANA Hadi Yesu Alipotokea Na Kumwambia Ajitwike Godoro Lake Na Aende (Yohana 5)… Yule Mwanamke Aliyetokwa Na Damu Kwa Miaka 12 Mfululizo, Hakupokea Uponyaji Wake Kwa Bahati bahati, Alitarajia/ Alitegemea Kitu Toka Kwa Yesu Hata Kabla Ya Kuja Pale Mkutanoni, Maana Alisema, “NIKILIGUSA TU PINDO LA VAZI LAKE NITAPONA” Je Si Matarajio/ Matumaini Hayo?
Je Wale Wakoma Kumi Waliomsogelea Yesu Na Kumwomba Awatakase, Walimsogelea Bila Tarajio Lolote? Je Bartimayo Mwana Wa Timayo Alipiga Kelele “Mwana Wa Daudi Unirehemu” Bila Kuwa Na Tarajio Moyoni Mwake? Je Ndugu Zake Na Lazaro Wa Bethania Walimtumia Yesu Taarifa Za Ugonjwa Wa Lazaro Bila Kuwa Na Tarajio Lolote? Na Wale Nyumbani Kwa Mama Mkwe Wa Petro Waliomwomba Amguse Yule Mama Hawakuwa Na Tarajio?

Kama UNADHANI MUUJIZA UNATOKEA KWA WASIO KUWA NA MATARAJIO; WEWE KAA TU, HALAFU UKIUPATA HUO MUUJIZA NIJULISHE NIJIFICHE NA BIBLIA YANGU!

“Kama Utapokea Muujiza Usiotarajia, Utajuaje Kuwa Ni Muujiza?”
“Yeye Amwendeaye Mungu Lazima AAMINI Kwamba Mungu Yupo, Na Huwapa THAWABU Wale Wamtafutao”
“Imani Ni Kuwa Na HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO…”

MWENYE MATARAJIO/ MATEGEMEO YA KITU FULANI KWA BWANA, YUKO HATUA CHACHE KUKIPOKEA… Hii Ndiyo Biblia Yangu, Ya Kwenu Inasemaje?

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: