Neno la kristo

Kuna Baadhi Ya Vitu Havihitaji Kuvihangaikia Wala Kuvisumbukia, Vinahitaji Tu Kutii Kwako NENO LA KRISTO, Ukifanya Tu Hiyo Umemaliza Kazi… Kati Ya Vitu Hivyo Ni VYAKULA, MAVAZI NA MAHITAJI YETU YA KILA SIKU… Hivi Vitu Vyote Nilivyotaja Hapo Juu, Havipatikani Kwa KUSUGUA MAGOTI, La Hasha! Vinapatikana Kwa Kuzingatia KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA, Basi!
Unataka Kupokea Chochote Kati Hivyo Hapo Juu? Njia Ni Rahisi, Anza Kwanza Wewe Kuwapa Wengine Hicho Kidogo Ulichonacho. Kama Huwezi Kumsaidia Mwenzio Aliye Na Nguo Moja Wakati Una Nguo 5 Usitarajie Mungu Kukupatia Nguo 20. Kama Hauwezi Kumsaidia Mwenzio Mlo Mmoja Tu Wa Mchana Au Usiku, Usipange Foleni Kwa Mungu Kumsubiria Akutunze Na Kukulisha Kwa Mwaka Mzima.
ANAYEPANDA SIKU ZOTE HUVUNA… ANAYETOA SIKU ZOTE NAYE HUPOKEA… SI NJE YA HAPO!

Yesu Anasema, ” WAPENI WATU VITU, NANYI MTAPEWA; KIPIMO CHA KUJAA NA KUSUKWA SUKWA NA KUSHINDILIWA; NDICHO WATAKACHO WAPIMIA WATU VIFUANI MWENU” (Luka 6:38)

Vitu Vyote Unavyohitaji (Material Things) kama vile Pesa, Nguo, Chakula, Mali nk HAVIPO MBINGUNI, VIKO HAPA DUNIANI, MIKONONI MWA WATU… WATU NDIO WATAKAOKUPIMIA WEWE NA SI MUNGU… UKIPIMA NA WEWE UTAPIMIWA!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: