Tutafute Ufahamu

Hatufiki Kule Tunakokwenda Kwa Kujifungia Ndani Tu Na Kusubiri… Lazima Tutafute Maarifa, Ufahamu, Ushauri Na Hekima Kwa Wengine Walio Kwenda Hatua Zaidi Yetu… Hata Musa Aliomba Ushauri Kwa Yethro, Nebukadreza Aliuliza Kwa Daniel, Yehoshafati Aliuliza Kwa Elisha… Mungu Anapowaweka Watu Mbele Zako Ambao Roho Yake Imo Ndani Yao, Watumie Vizuri… Yule Mwanamke Mshunami Alielewa Kilichoko Ndani Ya Elisha… Mjane Wa Sarepta Alielewa Kilicho Ndani Ya Eliya… Wote Walinufaika Kwa Kuwatumia Vizuri Watu Hawa Wenye Shehena Ndani Yao!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: