Kuwa Mtumishi Wa Mungu, Ni Jambo La Ajabu Sana. Kufuzu Na Kuingia Kwenye Ukanda Wa Kuheshimiwa Na Baba Wa Mbinguni Na Pale Yesu Alipo Nawe Kuwepo Si Kazi Rahisi… Nami Ningetamani Kufanya Yale Niyatakayo, Nifuate Hisia Na Utashi Wa Nafsi Yangu, Niandike Chochote Kwenye WALL YANGU Kama Wewe, Nitumie Lugha Yoyote Na Kauli Yoyote Kama Vijana Wengine, Lakini Haiwezi Kuwa Rahisi Namna Hiyo, Hauwezi Kuwa Mtumishi Wa Mungu Kama Haujafikia Hatua UKAFA Ili YESU AWE HAI NDANI YAKO… Atakaye Kuyaponya Maisha Yake Atayapoteza!
Nira Yake Ni Laini Na Mzigo Wake Ni Mwepesi… Lakini Haibadili Ukweli Kwamba Ni NIRA Wala Kwamba Ni MZIGO (Keep That In You Mind)… There Is No Relevance Of Light If There Is No Darkness, Neither The Meaning Of A Prize If There Is No Price!
*Nawasalimu Kwa Jina Kuu La Yesu Wateule*

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: