Matokeo amabacho kile mawazo ya mtu yamepitisha

Kushinda Ama Kushindwa, Kuweza Au Kutoweza Ni Matokeo Ya Kile Ambacho Mawazo Ya Mtu Yamepitisha Na Kikatendewa Kazi Na Mtu… Maana Ajionavyo Mtu Ndivyo Alivyo Nafsini Mwake (Mithali 23:7). Hauwezi Kuwa Na Mawazo Sisimizi Ukatoa Matokeo Tembo… Aina Ya Mawazo Aliyonayo Mtu Hudhihirishwa Nje Na Kauli Za Mtu… Hauwezi Kuwa Na Maneno Makubwa Wakati Una Mawazo Madogo… Wale Wapelelezi 10 Waliokwenda Kuipeleleza Nchi Ya Ahadi Walikuwa Na Mawazo Panzi Kuhusu Hali Zao Na Mawazo Majitu Kwa Maadui Zao… Joshua Na Karebu Walikuwa Na Mawazo Tofauti, Wao Walikuwa Majitu Na Adui Zao Mapanzi… Na Mwisho Wa Siku Aina Ya Mawazo Yao Yaliamua Aina Ya Maneno/ Kauli Zao Na Hatma Zao!

“MTU MWENYE MAARIFA, UFAHAMU WA KUTOSHA KUHUSU NAMNA YA KUYATUMIA, LAZIMA AWE NA MAWAZO TEMBO… LAKINI MAWAZO TEMBO YANAYOTOA MATOKEO TEMBO NI MATOKEO YA KIASI CHA MAARIFA ULIYONAYO”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: