Mke Mwema hutoka kwa Bwana

MKE MWEMA

“Nyumba Na Mali Ni Vitu Alithivyo/ Apewavyo Mtu Na Babaye, Bali Mke Mwema Hutoka Kwa BWANA”

Kuna Watu Wamezaliwa Familia Bora, Wao Nyumba Na Mali Si Tatizo, Hawa Kama Wamefikia Umri Wa Kuoa Na Wanaelewa Maana Halisi Ya Ndoa Na Wana Ufahamu Wa Kutosha Kuhusu Ndoa Na Namna Ya Kuwajibika Na Kudumu Humo, Walichobakiza Ni Kumwambia BWANA Atoaye Mke Mwema Awapatie Hao Wasaidizi Wa Kufanana Nao… LAKINI Kuna Watoto Wa Wakulima Wale Zamani “AKINA SISI” Ambao Hizo Nyumba Na Mali Baba Hajakuandalia, Na Maisha Unayoyaishi Ni Ya Imani; Maisha Ya “BWANA ATAFANYA NJIA” Halafu Haujajiandaa Kwa Hili Wala Lile Na Bado Una Pilika Nyingi Za Mbio Za MAHUSIANO… Huo Ni Utoto; Hakuna Anayeanza Kujenga Nyumba Kuanzia Kwenye Paa, Wote Wanaanzia Kwenye Msingi… Hatuanzii Kwenye Mahusiano, Uchumba Na Ndoa, La Hasha! Tunaanzia Kwenye KUJIPANGA (Nyumba Na Mali)… Usijemchukua Mtoto Wa Watu Mnaanza Dozi Za Maombi Ya Kufunga… HAYA SI MAPENZI YA MUNGU… Ndio Maana Akina Dada Wengi Makanisani Kwetu Wanakimbilia Kwa Akina Juma Na Uledi Kwa Sababu Wale Wa Kanisani Wamekazana Kuanzisha Mahusiano Yasiyodumu Badala Ya Kujenga Maisha Yao Kwanza… HAWAKO SERIOUS NA MAISHA!

“Salamu Hizi Ziwafikie Wale Mabingwa Wote Wa Kuanzisha Mahusiano Yasiyodumu Na Kuelekea Ndoa”

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “Mke Mwema hutoka kwa Bwana
  1. Lloyd Paul says:

    ni makosa kunukuu vifungu vya biblia bila kuandika umetoa kitabu kipi. Stop it

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: