Si Kila Mtu Anafikiri Na Kuona Sawasawa

think behind the box

Si Kila Mtu Anafikiri Na Kuona Sawasawa, Japo Akili Yake Aliyonayo Nayo Ni Akili!

Utamkuta Machinga Anauza Kitabu Kimeandikwa “HOW TO BECOME RICH IN ONE WEEK” Halafu Huyu Machinga Anatumia Miezi Kadhaa Kukitembeza Kutafuta Mteja… Kuna Haja Gani Ya Kukitembeza Miezi Kutafuta Mteja Wa Kukinunua Kwa Shilingi 7,000/= Wakati Anaweza Kukisoma Akapata YALIYOMO Yatakayomsaidia Kuwa RICH NDANI YA WEEK MOJA?
Najaribu Kutafakari Kwa Sauti; Salamu Hizi Ziwafikie Wavivu Wote Wa Kusoma Na Kutafuta Maarifa, Ambao WakoTayari Kwenda Show Moja Ya Diamond Kwa Shilingi 50,000/= Wakati Kwa Kiasi Hichohicho Angeweza Kununua Vitabu Viwili, Vitatu Au Hata Vitano Ambavyo Vingeyapa Thamani Sana Maisha Yako Na Kukutoa Mahali Kwenda Sehemu!

“Yatafute Maarifa Wala Usiyauze… Mkamate Sana Elimu (Mkusanyiko Wa Taarifa, Maarifa, Maelekezo Usiyoyafahamu) Wala Usimwache Aende Zake, Mshike Sana Huyo Maana Ni Uzima Wako (Anayo Maisha Ndani Yake)”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: