Wakristo Maofisini

https://yesunibwana.files.wordpress.com/2013/01/of10.jpg?w=300

ofisini

Kwako Wewe MKRISTO Uliyeajiriwa Kwenye Ofisi Fulani Ya Serikali Au Binafsi… Kule Kuwa Kwako Pale Ofisini Kama Mfanyakazi, Usije Ukaichukulia POA Hiyo Kazi Kama Wengi Wanavyoiita Eti Ni Kazi Ya KAISARI… Sio Kweli, Mungu Amekuweka/ Amekupa Nafasi Mahali Hapo ILI USIMAMIE MAKUSUDI NA MAPENZI YAKE PALE… UKO PALE KAMA BALOZI WA SERIKALI YA MUNGU… KILA UNACHOFANYA PALE MBELE ZA MUNGU ANAFANYA ASESSMENT YA UTENDAJI WAKO, NA UKIFIKA MBINGUNI UWE NA UHAKIKA KATI YA MAENEO AMBAYO MUNGU ATAKUHUKUMU AU KUKUPONGEZA NI UAMINIFU, UWAJIBIKAJI, UADILIFU NA UCHAPAKAZI WAKO KWA MWAJIRI WAKO… “Enyi Watumwa (Wafanyakazi) WATIINI MABWANA ZENU (Waajiri, Wakuu wenu Wa Kazi) KAMA KUMTII KRISTO”
Mungu Amekuweka Hapo Akiwa Na Matumaini Kwamba Utakuwa MFANO KWA WENGINE… UTAKUWA NURU NA CHUMVI… UTAFANYA KILA KITU AS IF NI YESU AMEAJIRIWA PALE… NA KUPITIA UTENDAJI WAKO,; WAAJIRI NA WAFANYAKAZI WENZIO WATAONA NA KUMTUKUZA BABA YAKO WA MBINGUNI (Mathayo 5:16).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: