KUNA SEHEMU YAKO YA KUFANYA

ombeni nanyi mtapewa

Watu Wanadhani Mungu Anafanya Kila Kitu Bila Kuzingatia Taratibu Alizojiwekea… Kwenye Neno La Mungu Tunaona Kwamba Mungu Huwa Ana-REACT Kutokana Na ACTION Zetu!
USIPOFANYA KITU, YEYE NAYE HAFANYI CHOCHOTE… TENA NASEMA KWA KUSISITIZA; USIPOFANYA KITU, MUNGU “hawezi” KUFANYA KITU… Wewe Ndiye Mwenye Dhamana Ya Kumleta Mungu Kwenye Eneo Unalohitaji Msaada Wake!

“Katika Shida Yangu NALIMWITA BWANA, Akaniitikia”
Angalia Hili Neno “NALIMWITA” Maana Yake Hakufanya Kabla Sijafanya

“MTWIKE BWANA Mzigo Wako Naye Atakutegemeza”
“MTWIKE” Na Usipofanya Hivyo, Yeye Hatakuja Kutoka Mbinguni Bila Mwaliko Kukutegemeza

“NJOONI Kwangu Ninyi Nyote Msumbukao Na Wenye Kulemewa Na Mizigo Nami Nitawapumzisha”
“USIPOKUJA” Na Ukauleta Ule Mzigo Na Usumbufu Wako, Yeye Hataweza Kukupumzisha

“UNIOMBE Nami Nitakupa Miisho Ya Nchi Kuwa Milki Yako Na Mataifa Kuwa Urithi Wako”
” UNIOMBE” …NAMI NITAKUPA… Hupewi Mpaka Utakapoomba

“OMBENI Nanyi Mtapewa, TAFUTENI Nanyi Mtaona, BISHENI Nanyi Mtafunguliwa”
OMBENI… TAFUTENI… BISHENI… Ili Na Yeye Awape, Muone, Mfunguliwe

“Kumbuka Usipofungua DUNIANI Mbinguni Nao Hawafungui; Usipofunga DUNIANI Mbinguni Nao Hawafungi”

Habari Za Kutwa Wateule Wa BWANA YESU? Mwl Anawapenda!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: