Watu Wa Maombi Si Watu Wa Maneno

Maombi

… Maneno Yao Huwa Yanaishia Kwenye Maombi… Kwa Kila Changamoto Yao, Wao Breki Ya Kwanza Ni Kwenda Kuisemea Kwa Baba Yao Wa Mbinguni.
Laiti Tungekuwa Na Wachungaji, Wainjilisti, Waalimu, Mitume Na Manabii Waombaji, Tusingekuwa Na Mahubiri Ya Vijembe Na Kujikweza Wala Kusingekuwa Na Kuchafuana Kwenye Huduma. Kama Tungekuwa Na Akina Mama Na Akina Dada Waombaji, Tusingekuwa Na Wasengenyaji Wengi. Kama Tungekuwa Na Wanakwaya Na Waimbaji Waombaji, Tusingekuwa Na Kelele, Mipasuko, Migawanyiko Na Maswala Ya Mashindano Na Kugombea Madhabahu!
Sehemu Ambako MDOMO UNAPIGWA SANA, UJUE PIA NA MAOMBI HAKUNA AU NI KIDUCHU!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: