JITAMBUE

Mungu alikupenda

Shida Nyingi Zinazotokea Kwenye Maisha Yetu Ni Kwa Sababu Hatujui Sisi Ni Akina Nani Hasa… Mtu Anayejua Kuwa Yeye Ni Wa Pekee Na Wa Aina Yake Duniani Hawezi Kwenda Kichwa Chini, Maana Anajua Hakuna Mtu Mwingine Kama Yeye Kokote Kwa Sasa Na Hatakuja Kuwepo Mtu Aliye Kama Yeye Milele!
Watu Wote Waliofanikiwa Na Kustawi Hapa Duniani Ni Wale Wanaojua Kuwa Wao Ni Wa Tofauti Na Mungu Amewekeza Vitu Ambavyo Hajaweka Kwa Mwingine Ndani Yao… Mtu Anayeishi Akijishusha Na Kujidharau Na Kujifanya Kiatu Cha Wengine Hawezi Kufika Kokote… Lazima Ifikie Mahali Ujue Kuwa HAKUNA MWANADAMU MWINGINE Kama Wewe Kati Ya Bilioni 7 Waliopo Duniani… Kama Hautajua Kuwa Hakuna Mtu Mwenye Mawazo, Fikra, Mtazamo, Uelewa, Ufahamu Kama Wako, Hautaweza Kusimama Sehemu Na Kuionesha Dunia Kile Ambacho Mungu Ameweka Ndani Yako… Muda Wa Kuwa Mtumwa Umeisha, Muda Wa Wewe Mfalme Kutembea Kwa Miguu Na Watumwa Wakabebwa Na Farasi Umepita… Jiamini, Jikubali, Ioneshe Dunia Kuwa Mungu Hakukosea Kukuumba!

“Nitakushukuru Mungu Kwa Kuwa Nimeumbwa Kwa Namna Ya Ajabu Na Ya Kutisha” ( Zaburi 139:14)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: