NATANGAZA VITA DHIDI YAO; WAMEANGUKA TAYARI

natangaza vita

Wao Wanataja Hirizi, Wanataja Bundi, Wanataja Damu Ya Kuku, Damu Ya Kondoo Mweupe, Shuka Jekundu Ama Jeupe, Damu Ya Wazazi Au Watoto Wao, Vilinge Vyao Vya Kutambika, Wao Wanataja Mizimu, Wanataja Mapepo, Wanataja Majini, Wanataja Uchawi Na Uganga, Wanataja Kila Takataka Zote Za Kuzimu… BALI Sisi Tutalitaja Jina La Bwana Wa Majeshi, Yesu Kristo Wa Nazareth, Tunazitaja Nguvu Na Upako Wa Roho Mtakatifu, Tunazitaja Nguvu Za Neno La Mungu Ambalo Ni Upanga Wa Roho, Nyundo Ipondayo Na Kusaga Mawe Vipandevipande, Moto Ulao, Nuru Ilishindayo Giza… Tunaitaja Damu Ya Yesu; Damu Ya Agano Jipya Yenye Ukombozi Wetu, Damu Ya Agano La Milele, Damu Ya Kristo Yesu Yenye Uhai Na Uzima Wa Mungu!

“Hapana Uchawi Juu Ya Israel Wala Uganga Juu Ya Yakobo” (Hesabu 23:23)

“Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa” (Isaya 54:17)

“Utathibitika Katika Haki, Utakuwa Mbali Na Kuonewa, Hautaogopa Na Hofu Haitakukaribia Wewe” (Isaya 54:14)

“[BWANA] Hatamwacha Mwenye Haki Aondoshwe” (Zaburi 55:22)

“Nimewapa Amri Kukanyaga Ng’e Na Nyoka, Na Kila Nguvu Ya Yule Adui, Wala Hakuna Kitakachowadhuru” (Luka 10:19)

” Maana Yeye Atakuokoa Na Mtego Wa Mwindaji, Na Katika Tauni Iharibuyo. Kwa Manyoya Yake Atakufunika, Chini Ya Mbawa Zake Utapata Kimbilio, Uaminifu Wake Ni Ngao Na Kigao. Hutaogopa Hofu Ya Usiku, Wala Mshale Urukao Mchana, Wala Tauni Ipitayo Gizani, Wala Uele Uharibuo Adhuhuri, Ijapo Watu Elfu Waanguka Ubavuni Mwako, Naam, Kumi Elfu Mkono Wako Wa Kuume! Hata Hivyo Hautakukaribia Wewe” (Zaburi 91:3-7)

Salaam Kwenu Wote Ambao Mko “COMMITTED” Kuhakikisha Mnanizima Na Kuninyamazisha… Hakika Yake Mtaondoka Ninyi Na Mtaniacha Na Yesu Wangu… Maana NILIKUFA NA UHAI WANGU UMEFICHWA PAMOJA NA UHAI WA KRISTO YESU NDANI YAKE MUNGU (Wakolosai 3:3)… NDANI YAKE NINAISHI, NINAKWENDA NA KUWA NA UZIMA WANGU (Matendo 17:28)… MUNGU MWENYEWE NI UKUTA WA MOTO KUNIZUNGUKA NA UTUKUFU NDANI YANGU (Zekaria 2:5,8)!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “NATANGAZA VITA DHIDI YAO; WAMEANGUKA TAYARI
  1. Betret Eustace says:

    Nimebarikiwa sana na somo.
    God is great God. He is God who caries our burden day after day, He never slumber nor sleep, He is omniscient God! And whoever touch is he touches the most precious thing of God Lord of hosts

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: