Nguvu ya Agano jipya

agano jipya

Kama Hauna MAARIFA YA KUTOSHA Kuhusu NGUVU YA MSALABA, NGUVU YA KUFUFUKA KWAKE, NGUVU YA WOKOVU Na NGUVU YA AGANO JIPYA Usimguse Shetani Jichoni, Usiwachokoze Wanaomtumikia, Wale Wakija Wamekuja… Na Wana Ajenda Ya Kuharibu Au Kuchinja, Hakikisha Umeweka Vizuri Mambo Yako Kabla Haujawa Na Ulimi Juu Yao!

NGUVU YA MSALABA:
Kristo Alizivua Enzi Na Mamlaka [Falme Za Adui] Na Kuzifanya Kuwa Mkogo[ Fedheha na Kituko] Kwa Ujasiri, Akizishangilia Katika Msalaba Wake (Wakolosai 2:15)

NGUVU YA KUFUFUKA KWAKE:
Yeye Aliyeshuka Pande Za Chini Za Nchi Ndiye Aliyepaa Juu Sana. Alipopaa Juu Aliteka Mateka, Akawapa Wanadamu Vipawa!

NGUVU YA WOKOVU:
Naye Alituokoa Toka Katika Nguvu Za Giza, Akatuhamisha Na Kutuingiza Katika Ufalme Wa Mwana Wa Pendo Lake (Wakolosai 1:13)
Huku Mkiichukua Chapeo Ya Wokovu… (Waefeso 6)

NGUVU YA AGANO JIPYA
Limetufungulia Mlango Wa Kuwa Wana Halisi Wa Mungu Kama Kristo Alivyo Na Warithi Pamoja Naye, Hata Roho Mwenyewe Hushuhudia Na Roho Zetu Ya Kuwa Tu Wana Wa Mungu (Warumi 8:16-17)
Limetupa Nafasi Ya Kuwa Watu Wa Milki Ya Mungu, Taifa Takatifu, Uzao Mteule (1 Petro 2:9).
Limetufanya Kuwa Wenyeji Wa Yerusalemu Wa Mbinguni, Na Majeshi Ya Malaika Elfu Nyingi, Mkutano Mkuu Na Kanisa La Wazaliwa Wa Kwanza Walioandikwa Mbinguni, Na Mungu Mwamuzi Wa Watu Wote…Na Yesu Mjumbe Wa Agano Jipya, Na Damu Ya Kunyunyizwa, Inenayo Mema Kuliko Ile Ya Habili (Waebrania 12:22-24)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: