Usikubali Shetani Akuibie Baraka Na Miujiza Yako

usikubali

Toka Kwa BWANA Kwa Kigezo Kuwa Huko Nyuma Umewahi Kukosea Au Kutenda Dhambi Fulani Ndiyo Inayozuia Wewe Usipokee Au Kujibiwa Na Mungu… Kitu Cha Msingi Ni Hiki, Kama Uliungama Na Kuziacha Dhambi Zako, Na Kubadili Mwenendo Wako, Mungu Alishakusamehe Na Amesahau, Wala Hajui Na Hakumbuki Kuwa Umewahi Kufanya Dhambi Au Kosa Hilo… “Afichaye Dhambi Zake Hatafanikiwa, Bali AZIUNGAMAYE Na KUZIACHA Atapata REHEMA” (Mithali 28:13)… Pia Kumbuka, “TUKIZIUNGAMA Dhambi Zetu, Yeye Ni Mwaminifu Na Wa Haki, Hata Atuondolee Dhambi Zetu, Na Kutusafisha Udhalimu Wote” (1 Yohana 1:9)

Kauli Ya Mungu Kwako Ni Hii, “MUNGU HAIHITAJI JANA YAKO KUKUTENGENEZEA KESHO YAKO”
“MSIYAKUMBUKE MAMBO YA KWANZA, WALA MSIYATAFAKARI MAMBO YA ZAMANI” (Isaya 43:18)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: