Vita dhidi ya adui

kwa jina layesu

Kinachomfanya Shetani Apishe Tunapomwamuru Si Kwa Sababu Ya Kusema, “Kwa Jina La Yesu” Au “Katika Jina La Yesu” Bali Ni Kwa Sababu; Anamjua Mhusika Anayetoa Amri Ya Kuwa Anakaa Ndani Ya Kristo Na Kristo Ndani Yake, Anaishi Maisha Matakatifu, Analo Neno La Mungu La Kutosha, Anaye Roho Wa Kristo nk… Tofauti Na Hapo Yatatokea Yale Yaliyowakuta Wana Wa Skewa… Utaulizwa, “Kristo Namjua, Paulo Namjua, Na Wewe Ndo Nani Vile?” Halafu Utakula Vibao Vya Kukutosha Na Kufedheheshwa… Hatumkabili Shetani Kwa Uzoefu, Hisia Ama Kwa Ku-copy Toka Kwa Wengine Wanayofanya… Unapomkabili Shetani, Umeji-Expose Na Kujitangaza, Kitakacho Kunusuru Ni Hayo Niliyoyataja Hapo Juu… Ni Michezo Ya Hatari, Michezo Ya Rohoni, Vita Dhidi Ya Adui!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: