Haja ya mahitaji yako

maombi

Nataka Kuombea Haja Na Mahitaji Yako, Mtaji Wako Uwe Imani Yako Kwa Damu Ya Yesu Na Kazi Aliyofanya Yesu Msalabani… Kuanzia Leo Ijumaa, Kesho Jumamosi Na Kesho Kutwa Jumapili, Nataka Tumwamini Mungu Pamoja Na Tupeleke Hilo Hitaji Au Ombi Lako Kwa Bwana… Kama Si Jambo La Siri, Andika Ombi Au Maombi Yako Kwenye Sehemu Ya Comment Ya Ujumbe Huu… Na Kama Jambo Unalotaka Liombewe Ni La Siri Na Usingependa Wengine Walione, Niandikie Meseji [Inbox] Na Uwe Na Uhakika Mungu Hatatulia Mpaka Ayaweke Mambo Yako Sawa! Nataka Kukuombea Kwa Jina Lako, Nikutaje Uweponi Mwa BWANA, Kumbuka Kwenye Ulimwengu Wa Roho Hakuna Umbali, Ni Sawa Na Mimi Kuja Kuombea Hapo Sebuleni Au Nyumbani Kwako, Usimwekee Yesu Mipaka, Nguvu Zake Hazijapungua, Alimponya Yule Mtumwa Wa Akida Wa Kirumi Bila Kwenda Nyumbani Kwake… Alimponya Yule mtoto wa Yule Mwanamke Mkananayo Bila Kuonana Naye…Alimfufua Lazaro Bila Hata Kwenda Kuweka Mikono Yake Juu Yake, Anaweza Leo, Anatenda Leo, Anasubiria Imani Yako Kwake Na Kwa Damu Yake! ANDIKA OMBI/ MAOMBI YAKO NAYASUBIRI

“Kwa Sala zote na Maombi Mkisali Kila Wakati Katika Roho, Mkikesha Kwa Jambo Hilo Na Kudumu Katika Kuwaombea Watakatifu Wote” (Waefeso 6:18)

“Basi Kabla Ya Mambo Yote, Nataka Dua, Na Sala, Na Maombezi, Na Shukurani, Zifanyike Kwa Ajili Ya Watu Wote” (1 Timotheo 2:1)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in sala
One comment on “Haja ya mahitaji yako
  1. irene says:

    baba yake mtoto wangu prospe hataki kumhuduia ,mwanae precious :na hitaji la kazi nzuri; ulinzi wa mtoto wangu precious na mm mama yake irene

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: