Hatuishi Kwa Matumaini Bali kwa IMANI

Imani Inasema, “Aliyachukua Magonjwa Yangu Na Kujitwika Udhaifu Wangu…Sipaswi Kuwa Mgonjwa, Ni Mapenzi Ya Mungu Kwangu Kuwa Na Afya Timamu… NAPOKEA UPONYAJI WANGU SASA, MAANA SIPASWI KUYACHUKUA TENA MAGONJWA NA UDHAIFU ALIOKWISHA SHUGHULIKIA YESU”

Matumaini Yanasema, “Aliyachukua Magonjwa Yangu Na Kujitwika Udhaifu Wangu… Najua Mungu Hapendi Niwe Mgonjwa, Ni Mapenzi Yake Kwangu Niwe Na Afya Timamu… NINAAMINI IPO SIKU MUNGU ATANIPONYA TU”

Hatuishi Kwa Matumaini, Bali Tunaishi Kwa Imani… Kuishi Kwa Matumaini Waachie Wenye Upungufu Wa Kinga Mwilini!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: