Imani ni Uhakika

imani

Kati Ya Vitu Vinavyozuia Watu Wengi Wasipokee Majibu Ya Maombi Yao Kwa BWANA Ni MASWALI WALIYONAYO MOYONI… Mtu Akishakuwa Na Swali Ndani Yake Kuhusu Mungu Na Utendaji Wake, Au Kuhusu Mungu Na Jambo Fulani; Maana Yake Ndani Yake Kutatokea Hali Ya Kutokuwa Na UHAKIKA… Na Kama Hakuna UHAKIKA Maana Yake Hakuna IMANI… Maana IMANI NI UHAKIKA (Waebrania 11:1)… Swali Ndani Ya Mwombaji Ni Mlango Wa Mashaka Na Hofu… Na Mtu Mwenye Mashaka Biblia Inasema Wazi ASITEGEMEE KUPATA KITU TOKA KWA BWANA (Yakobo 1:5-7)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: