“KULA KULA” Hovyo Si Jambo Jema..

https://i1.wp.com/www.bodybuilding.com/fun/images/2009/fight_eating_disorders_a.jpg

..

Kula Si Tatizo, Ila “KULA KULA” Hovyo Si Jambo Jema… Unapita Mtaani Unaona Vitumbua Kwa Mama Ntilie Vinachomwa, Unabeba, Mtaa Wa Pili Unakutana Na Vikaranga Unaweka Kwa Tumbo, Unapiga Kona Ya Tatu Unakuta Vipande Vya Nanasi Unashindilia, Unaingia Mtaa Mwingine Unakuta Vipande Vya Mahindi Ya Kuchoma Au Ya Kuchemsha, Unapiga, Haujakaa Sawa Zinapita Lambalamba Za Backhresa Unachukua… Pale Kituo Cha Daladala Kuna Machungwa Ya Kumenya Unakula tu… Mchana Unakula Chakula Nyumbani Au Gengeni Au Kokote Unakokula Wewe, Unasukumia Na Cocacola Au Fanta Au Soda Za Backhresa, Unasukumia Na Maji Ndii… Hivi Kweli Wewe Nikisema “MUNGU WAKO NI TUMBO, KUNA UONGO KATIKA HILO?”

Halafu Hilo Tumbo Likianza Kuleta Matata, Ukemee Kwa Jina La Yesu Au? Nadhani Itamchukua Muda Kutokea Hapo Maana Wewe Mwenyewe Umejaribu Kwa Upumbavu Wako “KULIHARIBU HEKALU LAKE, YAANI HUO MWILI WAKO”

“Kila Kitu Ni Halali Kwako Lakini Jitahidi Usitiwe Chini Ya Nguvu Ya Kitu Chochote”

“Kila Kitu Ni Halali Kwako Lakini Si Kila Kitu Kifaacho”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: