Miriamu na Haruni

Mungu Haungi Mkono Swala La Akina Haruni Na Miriamu Kuingilia Ndoa Ya Musa… Mke Ni Wa Musa; Yeye Ndiye Aliyefanya Uamuzi Wa Kumuoa, Kuishi Naye Na Kuwajibika Kwa Ajili Yake… Haruni Na Miriamu Hawakuwepo Hata Wakati Musa Na Mkewe “MWEUSI” Walipopendana, Kukubaliana Na Kuamua Kuishi Pamoja Katika Shida Na Raha… Ninyi Akina Haruni [Kaka Wa Bwana Harusi] Fungeni Midomo Yenu, Huyo Si Mke Wenu Ni Mke Wa Musa… Ninyi Akina Miriamu [Mawifi] Aliyeolewa Ni Huyo Mwanamke “MWEUSI” Msiyempenda Na Si Nyie… Kama Mnadhani Ninyi Ni Bora Zaidi, Mngeolewa Ninyi… Kuweni Makini Na Akina Haruni Na Miriamu Kwenye Ndoa Zenu, Si Watu Wazuri!

Ninyi Madada Wa Bwana Harusi, Mawifi Shikeni Adabu Zenu; Mtakuja Kupata Ukoma Bure… Kaka Wa Bwana Harusi, Oeni Wake Zenu Mkaweke Viwango Mnavyotaka, Aliyeoa Ni Musa Na Si Haruni!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: