NAMSHUKURU MUNGU NIMETIMIZA MIAKA KUMI KWENYE WOKOVU, NA SITA KWENYE HUDUMA LEO!

https://i2.wp.com/tradingphrases.com/images/T/CL027_ByhisgraceVConverted.jpg

Kukua Kiroho Hakuhusishi Maombi Tu… Kukua Kiroho Ni Balanced Diet Bwana, Kuna 40% NENO (Kuwa Rafiki Wa Biblia; Hii Ile 20% ya hiyo 40%, Fuatilia Mafundisho Ya Neno La Mungu; Semina, Madarasa Mbalimbali ya Kujifunza Neno, Hii Ina 10% Kati Ya 40%, Kusoma Vitabu Vya Watumishi Wa Mungu Waliofanikiwa; Hii Ina Asilimia 7%, Sikiliza DVD, Audio CD, Tapes Za Mafundisho: Hizi Zinachangia 3% Iliyokuwa Imebaki kwenye 40%)…

40% Nyingine Iliyobaki Ni Ya MAOMBI ( Maombi Ya Kufanywa Upya, Kristo Kuumbika Ndani Yako, Uhalisi Wa Sura Na Mfano Wa Mungu Ndani Yako; Hii Inachukua 20% Kati Ya 40% Za Maombi, 10% Itumie Kwa Maombi Ya Kujiweka Wakfu, Kujitoa Mwili Wako Kuwa Sadaka Safi Takatifu Na Yenye Kumpendeza Mungu, Kuutiisha Mwili Usiwe Na Uadui Na Mungu Bali Uwe Hekalu La Roho Mtakatifu, 10% Iliyobaki kati ya 40% Za Maombi Itumie Kwa Ajili Ya Kuomba Kuhusu Uhusiano Wako Binafsi Na Roho Mtakatifu; Ushirika Naye, Vipawa Vyake, Karama, Utendaji Wake Maishani Mwako nk)….

20% Ya Mwisho Katika Diet Ya Kukua Kiroho Inakuwa Katika UTUMISHI WAKO; Kazi Zako Za Kukuingizia Kipato Na Kazi Ya Huduma… Hizi Zote Mungu Anaziita Kazi Zake, Na Anagawa Asilimia Na Credit Kutokana Na Ubora Wako… (Jinsi Unavyoishi Na Mme/Mke Bila Lawama Na Kwa Upendo Wa Juu Wa Kimungu, Jinsi Unavyowalea Watoto Wenu Katika Adabu, Maonyo Na Njia Ya Bwana, Jinsi Unavyokuwa Wakili Mzuri Wa Mungu Kwenye Familia, Ukoo Wako, Kazini Kwako Kwa Kusimamia Viwango Na Taratibu Za Kweli Ya Neno Na Mapenzi Ya Mungu… Jinsi Unavyojituma Kutenda Kazi Ya Mungu Kwa NGUVU ZAKO, Kwa AKILI ZAKO [Mawazo, Ushauri, Maelekezo], Kwa MALI YAKO, Kwa MOYO WAKO [Kuwa Kwenye Mahaba Mazito Na Maslahi Ya Ufalme Wa Mungu Bila Kujali UDINI NA UDHEHEBU, Maadamu Ni Cha Mungu Basi Ni Chako] Na Kwa ROHO YAKO YOTE [Kuwa Tayari Kusimamia Cha Mungu Hata Kwa Gharama Ya Maisha Yako]..!

Summary: Neno La Mungu 40% + Maombi 40% + Utumishi 20%

Hii Ni Balance Diet Ya Kukua Kwangu Kiroho, Imenikuza Na Inaendelea Kunifanya Imara Katika Imani, Mwenendo, Usemi, Kiasi, Upendo Na Haki… Inaweza Kukusaidia Pia Wewe!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “NAMSHUKURU MUNGU NIMETIMIZA MIAKA KUMI KWENYE WOKOVU, NA SITA KWENYE HUDUMA LEO!
  1. zombe says:

    GOD BLESS U ALL

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: