Natabiri

Naona Kuanzia Leo Hadi Mwisho Wa Mwaka Huu 2013; Wale Wote Ambao Walipotea Kwa Njia Za Kawaida Na Za Kutatanisha, Wale Ambao Familia, Ndugu Na Jamaa Hawana Mawasiliano Nao Kwa Miaka Mingi Kuanzia 3, 5, 10, 20, 30 na Zaidi, Mawasiliano Yanarudi… Wale Waliotelekezwa na Kuachwa Kwa Miaka Mingi Na Watu Wao Wa Karibu Wanakwenda Kufarijika… Naona Moyo Wa KUZINGATIA Unaingia Ndani Ya Wale Waliokuwa Wamatelekeza Au Kuwaacha Wake, Familia, Watoto, Ndugu, Jamaa Kwa Idadi Ya Miaka Tajwa Hapo Juu, Wanarudi Na Kuna Sherehe Tena Nyumbani… Wale Waliopotea Kwa Njia “ZISIZO RASMI” Nawaona Malaika Wa BWANA Wanawatoa Mashimoni Kuwarejeza Makwao… MKONO WA BWANA NDIO ULIYOTENDA HAYA; KILIO CHA WANAOTAFUTA KIMEFIKA JUU… Si Lazima Niwe Nabii Ili Nitabiri Yajayo, Ukiujua Moyo Wa Mungu Unaweza Kujua Baadhi Ya Siri… Hata Sauli Naye Alitabiri Kule Nayoth… “… Na Vijana Wenu Watatabiri” (Yoeli 2:28)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: