Waliochuma chochote kwa njia isiyo halali

..

Miaka 5 Hadi 10 Toka Leo, Kutakuwa Na Matata Makubwa Kwa Wale Wote Waliochuma Chochote Kwa Njia Isiyo Halali… Waliokula Nyumba Za Yatima Na Wajane… Waliokula Jasho La Wanyonge Na Wahitaji Na Kufuta Midomo kana Kwamba Hawajafanya Kitu… Watu Walioporomosha Mustakabali Na Dira Ya Wengi Kwa Kukusanya Isivyo Sawa, Na Wale Wote Waliofanya Chochote Kisichokubalika kama HAKI Mbele Ya Wanadamu Na Mungu… Wenye Miradi, Mashirika, Vitega Uchumi Vya PESA CHAFU Na Wote Walio Wa Aina Hii, Nawaona WANADONDOKA NA HAWAINUKI TENA… Kuna Orodha Ya Wengi Watakaokufa Na Kuwaacha Wake Zao Nao Wajifunze kuwa WAJANE Na Watoto Wao Wajue Maana Ya Kuwa Yatima… ILA Naona Pia Nyota Zinang’aa Mbali, Kule Kwenye HEMA YA MWENYE HAKI; Walio Baba Kwa Yatima Na Kula Na Wajane Na Wageni, Wasiowazuilia Masikini Kilicho Katika Uwezo Wa Mikono Yao; Naiona NURU INAWAZUKIA… Nadhani Kuna Uhusiano Mkubwa Kati Ya Hii Nuru Na Isaya 58 Maana Naona Hilo Jina Na Namba 5 Imeibeba 8! Vifo Vya Mapema Vinazidi Kuongezeka Kwenye Hema Ya Wabaya, Naona Ni Mwanzo Tu Wa Kamba Ndefu… Bali Hesabu Ya Siku Za Wataua Itakamilishwa Na Kwa Wingi Wa Siku Watashiba… Itakuwa Heri Kwa Waaminifu, Waadilifu, Wenye Rehema, Wenye Haki Na Wenye Hekima Wajengao Juu Ya Mwamba!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: