kuwekeza kwenye Maombi

Kuwekeza kwenye Maombi

Biblia Inatufundisha Juu Ya “KUWEKEZA KWENYE MAOMBI” Au “MAOMBI YA AKIBA” Kama Ayaitavyo Baba Na Rafiki Yangu Mwl Mwakasege… Haya Ni Maombi Ambayo MWAMINI Anayaomba Kabla Ya Kufikia Jambo Fulani, Au Maombi Ya Ulinzi; Dhidi Ya Majaribu, Changamoto Za Maisha Nk… Mfalme Daudi Aliwahi Kulizungumzia Hili Pale Aliposema, ” Kwa Hiyo Kila Mtu Mtauwa [Msafi Wa Moyo, Alijitenga Na Uovu] Akuombe Wakati Unapopatikana. Hakika Maji Makuu Yafurikapo, Hayatamfikia Yeye” (Zaburi 32:6).
Jenga Mazoea Ya Kuomba “KILA WAKATI UNAPOPATIKANA” Maana Tumehakikishiwa Kuwa, “MAJI MAKUU [Majaribu, Changamoto Za Maisha, Magumu] YATAKAPOFURIKA HAYATATUFIKIA SISI”
Shetani Na Kuzimu Hawashindani Na Kila Anayejiita Mkristo, Bali Wanajitahidi Sana Kushindana Na Kila Mkristo ANAYEDUMU KWENYE MAOMBI, Maana Huyo Ni Mtu Hatari Sana, Hakuna Mtego Wa Siri Utakaomnasa Wala Wavu Utakaomtega, Maana Anakuwa Na Taarifa Za Ziada Kabla Ya Wakati Wenyewe!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: