Mwenye Haki atastawi

Unajua Wastaafu Wengi Huwa Wanakufa Miaka 5 Hadi 15 Mara Baada Ya Kustaafu Kazi Serikalini Kwa Sababu Ya MTAZAMO Wanaokuwa Nao Kichwani Kwao Kuwa WAMEMALIZA KILA WALICHOKUWA NACHO KWA AJILI YA DUNIA YAO… Yesu Alipoona Kuwa Amemaliza, Yaani IMEKWISHA, Alikufa (Yohana 19:30)… Kuna Mchungaji Mmoja Nigeria Ana Miaka 108 Sasa, Lakini Bado Ni Full Time Minister, Kwa Sasa Anaongoza Ujenzi Wa Chuo Kikuu Kinachojengwa Na Kanisa Lake, Lakini Kanuni Inayompa Maisha Na Miaka Mingi Ni Hii Hapa, “Mwenye Haki Atastawi Kama Mtende, Atakua Kama Mwerezi Wa Lebanoni. Waliopandwa Katika Nyumba Ya BWANA Watastawi Katika Nyua Za Mungu Wetu. Watazaa Matunda Hadi Wakati Wa Uzee. Watajaa Utomvu, Watakuwa Na Ubichi” (Zaburi 92:12-14)… Kama Yesu Atakuwa Hajarudi, Nitaendelea Kuwa Na Utomvu Na Ubichi, Huku Nikiwa Nazaa Matunda Hata Uzee Wangu Wa Miaka 120… Kwangu Hakuna Msamiati Wa Kufa Mapema… MY CASE IS DIFFERENT, AM ON THE WINNING CAMP!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: