Rafiki wa Kweli

rafiki wa kweli

Kwakweli Mimi Sidhani Kwamba Namhitaji Rafiki Ambaye Nikiinama Naye Anainama, Nikiinuka Naye Anainuka, Nikitembea Naye Anatembea, Nikisimama Naye Anasimama, Nikigeuka Naye Anageuka… Rafiki Wa Namna Hii, COPY CUT Simhitaji… Maana Tayari KIVULI CHANGU Kinafanya Yote Hayo Tena Kwa Usahihi Sana… Napenda Rafiki Anayejikubali, Anayejiamini, Anayeelewa Kwamba Alichonacho Hakuna Aliyenacho Duniani Na Wala Hatatokea Mwingine Kama Yeye… Nampenda Rafiki Anayefanya Juu Chini KUWA YEYE Katika Maeneo Yote Ya Maisha Yake… Nampenda Na Kumkubali Rafiki Anayeelewa Kuwa “AMEUMBWA KWA NAMNA YA AJABU NA YA KUTISHA” (Zaburi 139:14)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: