Tai

Tai

Jambo La Kwanza Wanalofanana TAI Na Ndege Wengine Ni Kwamba Wote Ni Ndege… Kama Ambavyo Mkristo Aliyeokoka Alivyo Binadamu Kama Binadamu Wengine Kwa Sababu Ya Mwili Aliovaa… Jambo La Pili Ambalo Tai Na Ndege Wa Kawaida Wanalofanana Ni Kwamba Wakati Wanaporuka Kuelekea Juu, Wote Wanapigapiga Mabawa Yao… Sawa Na Jinsi Ambavyo Mtu Aliyeokoka Anavyolipa Gharama Kuelekea Mahali Pa Ukuu Kama Wafanyavyo Pia Wanadamu Wengine Wa Kawaida… Ila Tofauti Ya TAI Na Ndege Wengine Inakuja Wakati Wanapofika MAHALI PA JUU; Tai Hapigipigi Mabawa Yake Ili Kutunza Nafasi Yake Na Asivutwe Kurudi Chini, Bali Wale Ndege Wa Kawaida Wanalazimika Kupigapiga Mabawa Yao, Wakichoka Wanaporomoka Na Kurudi Chini, Bali TAI Ananyoosha Tu Mbawa Zake Halafu Anaanza Kuelea Akiwa Anapelekwa Huku Na Huku Na Msukumo Wa Upepo, Bila Kuchoka Wala Kurudi Chini… Ndivyo Ilivyo Kwa Mtu Aliyeokoka, Yeye Akishapandishwa Mahali Pa Juu, Hatoki Hapo Ng’o Maana Ameandikiwa Kuwa Juu Tu Na Wala Sio Chini; Binadamu Wa Kawaida Asiye Na Yesu, Akifika Juu, Inabidi Atumie Namna Zote Na Mbinu Zote Kuweza Kubaki Juu, Atatoa Rushwa, Ataua, Atadhurumu, nk Ili Kulinda Nafasi Yake, Lakini Siku Nguvu Zake Zikiisha, Anaporomoka Na Kurudi Chini Tena… “Bali Wamngojao BWANA Watapata Nguvu Mpya; Watapanda Juu Kwa Mbawa Kama TAI; Watapiga Mbio Wala Hawatachoka; Watakwenda Kwa Miguu, Wala Hawatazimia” (Isaya 40:31)!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: