MIUJIZA ITOKANAYO NA MAOMBI YA IMANI BADO IPO, SOMA USHUHUDA HUU!

shuhuda

Mwaka Jana Mwezi Wa Pili, Dada Mmoja Aliyesoma Hadi Ngazi Ya Masters Kwenye Maswala Ya Human Resource Alinijia Akiwa Na Hitaji Moja Tu; Ametafuta Kazi Kwa Karibu Miaka 2 Na Nusu Pasipo Mafanikio. Na Alishapeleka Sehemu Nyingi CV Yake Na Maombi Ya Kazi Lakini Hakuwa Na Jibu Lolote La Kuridhisha!
Baada Ya Kuniambia Hali Yake, Nilimuuliza Swali Rahisi, “Unaamini Yesu Anaweza Kufanya Nini Katika Hili?” Akanijibu Akasema, “Najua Anaweza Kunipa Kazi, Anaweza Kunisaidia Katika Hili”
Baada Ya Hapo, Nikakaa Naye Kwa Kama Nusu Saa Hivi, Nikamfundisha Mambo Mawili Matatu Kuhusu Haki Zake Katika Kristo Kama Mwana Wa Mungu, Na Kile Ambacho Maombi Ya Mwenye Haki Yanaweza Kufanya! Tulipomaliza Yale Maongezi, Nikamwomba BWANA, Na Nikamwamuru Adui Atoe Mikono Yake Juu Ya Maisha Ya Yule Dada Na Hatma Yake, Halafu Nikamshukuru Mungu Kwa Muujiza!
Nikamwambia Yule Dada, “Wakati Ninaomba, Nimezisikia Nguvu Za Mungu Zinapita Kwa Wingi Na Kwa Nguvu Ndani Yangu, Imekuwa Na Umepata Haja Ya Moyo Wako”
Wiki Mbili Baada Ya Maombi Yale, Yule Dada Alinipigia Simu Na Kuniambia, “Mtumishi, Nimepigiwa Simu Kutoka Wizara Ya Viwanda, Wamesema Niende Jumatatu Kusaini Mkataba Na Kuanza Kazi, Hakuna Hata Cha Interview”
Nikamuuliza, Ulipeleka CV Yako Huko Wizarani Lini? Akanijibu, “Mtumishi Yaani Sielewi, Nimepeleka Hiyo CV Tangu Mwaka 2010 Mwezi Wa Pili, Ni Miaka 2 Kamili Imepita, Namshangaa Tu Mungu”
Hivi Kweli, Inawezekana Kwa Wizara Kutojaza Nafasi Ya Kazi Kwa Miaka 2? Ilikuwakuwaje Wakakaa Miaka 2 Bila Kumpa Kazi Huyu Dada? Na Je, Wizara Gani Inaweza Kutoa Kazi Kwa Mgeni, Tena Bila Kumfanyia Hata Usaili? Hapa Ndipo Tunaporudi Kwenye Ukweli Usiopingika; MKONO WA MUNGU Ndio Uliyafanya Hayo!
Haijalishi Umesumbuka Au Kuhangaika Au Kuteseka Kwa Muda Gani Kwenye Changamoto Uliyonayo… Kama Umemwomba Mungu, Tena Kwa Imani Pasipo Mashaka, Kesi Yako Imeisha… Imekuwa, Imefanyika, Ni Swala La Muda… “IJAPOKAWIA INGOJE, MAANA NI KWA MUDA ULIOKUSUDIWA, HAKIKA HAITASEMA UONGO…ITAKUWA TU”
Na Iwe Kwako Kama Ilivyokuwa Kwa Huyu Dada Katika Jina La Yesu Aliye Hai… Mungu Akufute Machozi, Mungu Akukumbuke

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in ushuhuda
9 comments on “MIUJIZA ITOKANAYO NA MAOMBI YA IMANI BADO IPO, SOMA USHUHUDA HUU!
 1. Hi there I am so excited I found your blog page, I really found you by error, while I was browsing on Askjeeve for something else, Anyways I am
  here now and would just like to say kudos for a incredible post
  and a all round interesting blog (I also love the theme/design), I don’t have time to browse it all at the minute but I have book-marked it and also included your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a great deal more, Please do keep up the superb work.

 2. Sande pius says:

  Mtumishi bwana asifiwe nashukuru nimesoma shuhuda tofauti katika brog yako ki ukweli ndugu mtumishi naipenda sana kazi ya bwana hasa nilipokuwa nikifuatilia mahubiri ya mwaka 2013 kule iringa, mbeya na hatiye kijenge Arusha nilibalkiwa sana ndugu mtumishi mimi niko chuocha mtakatifu augostino mwanza mwaka wa kwanza kitivo cha elimu, nimekuwa nikimwomba mungu kwa machozi sana juu ya afya ambapo nimesumbuka sasa hivi ni mwaka wa tatu unaelekea,nina tatizo ambalo mpaka sasa sijajua hatima yake kwani ninapandwa na joto jingi mno kiasi vha kutamani kukaa bila kuvaa shati ninazidi kunyong’onyea bila hata kujua nilijaribu kupima lkn napewa dawa lakin suponi nikasikia ndani yangu kuwa suluhishi ni kuja kwa yesu nilimpokea
  mwaka2011 lakini nimeendelea kuteseka inafuka kipindi nikitaka kusoma tatizo linazidi nachomwa na vitu kama miiba ndani siielewi kwa kweli hivyo mtumishi ningeomba katika maombi unayokuwa ukifanya unikumbuke yaani nalia kwa mateso kwani nahisi nimeanza hata na kukata tamaa amina

 3. raymon nesmith says:

  Good article! We arre linking to tyis particularly great post on
  our website. Keep up thee great writing.

 4. free love tarot reading says:

  An outstanding share! I have just forwarded this onto a co-worker who had been doiing a little homework
  on this. Annd he in fact ordered me lunch simply because I discovered it for him…
  lol. So allow me to reword this…. Thanks for tthe meal!!
  But yeah, thanks for spending the time to discuss thus subject here on your internet site.

 5. Im course says:

  Thanks for one’s marvelous posting! I actually enjoyed reading it, you’re a great author.
  I will be sure to bookmark your blog and will come
  back later in life. I want to encourage you to continue your great work,
  have a nice weekend!

 6. elimkamba says:

  Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, I am really blessed and changed with this site and it has been a good teacher since I got Jesus…, nami pia nina tatizo kama hilo la kutopata kazi niipendayo kwa more than 2 years…, nitakupigia tuongee zaidi mtumishi, Ubarikiwe sana na Mungu azidi kukutumia na kukujaza maarifa zaidi katika Jina la Yesu Kristo..

 7. lilian says:

  Naimani Mungu anaweza ata Mimi anaweza kunitendea kama alivyo mtendea huyo,Mtumishi naitwa Lilian naishi Bunda Mara naitaji Mungu anipe Mume mwema maana Nina miaka 27 na hapa nilipo sina mahusiano yoyote wala mchumba wala nini tushilikiane kuomba mtumishi Mungu anipe mume

 8. Mungu akubariki na mimi nahitaji maombi kwa ajil ya familia yangu bado haijaokoka,kuanzia mume wangu na watoto wangu watatu, najua Mungu hashindwi na jambo lolote, Amina

 9. kornelio mlao says:

  naomba maombi ninashinda kazi yangu ya shida madeni naomba mapato yangu yawe ya baraka

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: