Kipimo cha Roho Mtakatifu

image

Nguvu ya Roho Mtakatifu

Unataka Nikupe Kipimo Kitakachokusaidia Kujua Kama Mtumishi Au Mkristo Fulani Ana ROHO MTAKATIFU AU HAPANA? Hatupimi Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ndani Ya Mtu Kwa Kuangalia Aina Ya Miujiza Anayofanya… Hatupimi Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ndani Ya Mtu Kwa Kiwango Cha Maombi Yaliyojibiwa Pale Alipoomba… Hatupimi Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ndani Ya Mtu Kwa Vile Ananena Kwa Lugha… Anaweza Kuwa Amebakiza “TONE” Kwa Nje Na Roho Alishazimishwa Na Kuondoka! Tunaupima Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ndani Ya Mtu Kwa Uhalisi Na Uwazi Wa TUNDA LA ROHO Maishani Mwake… Kama Hana UPENDO WA KIUNGU; Kiasi Cha Kusitiri Wingi Wa Dhambi… Kama Hana FURAHA; Bila Kujali Mambo Yako Safi Au La… Kama Hana AMANI YA KIUNGU: Isiyoondolewa Na Changamoto Za Maisha… Kama Hana UVUMILIVU: Na Hawezi Kuwabeba Wengine Na Kuwastahi Japo Kweli Wanamuudhi Au Kumuumiza… Kama Hana UTU WEMA: Maisha Yake Yamejaa Matendo Mema Kwa Watu Wote Na Hasa Jamii Ya Waaminio… Kama Hana FADHILI: Hawezi Kuwafadhili Wengine Walio Katika Ugumu Au Maeneo Ambako Mkono Wake Unaweza Kufika… Kama Hana UAMINIFU: Kwenye Mambo Ya Mungu Na Ya Wanadamu… Kama Hana UPOLE: Amejaa Ukali, Hasira, Jazba Na Gadhabu… Kama Hana KIASI [Uwezo Wa Kujizuia]: Hana Mipaka, Hawezi Kuudhibiti Mwili Wake, Ulimi Wake Na Hana Nidhamu Ya Maisha… Mtu Ambaye Haya Matunda 9 Ya Roho Mtakatifu Hayaonekani Kwake, Huo Ni Ushahidi Wa Nje Kuonesha Kuwa Ndani Hakuna ‘MTI- ROHO MTAKATIFU’ Uzaao Hayo Matunda Yapasayo Kuonekana Nje Na Kuonesha Aina Ya Mti-Roho Mtakatifu Ulio Ndani!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: