Kuna Tofauti Kubwa kati ya kuimba wimbo wa sifa na Kusifu

Kusifu

Kuna Tofauti KUBWA SANA Kati Ya Kuimba WIMBO Wa Kusifu Na Kusifu Kwenyewe… Kuimba Wimbo Wa Kusifu Ni Tendo La Kufungua MDOMO Na Kutoa Sauti Ya Wimbo, Ila KUSIFU Kwenyewe Ni Tendo La Kufungua MOYO Na Kutoa Sauti Ya Moyo Wako Mbele Za Mungu Ukielezea Sifa Zake, Yaani Vile Alivyo Na Atakavyokuwa Milele!
Kusifu Si Zoezi La Sauti Na Mpangilio Wa Muziki Na Ubora Wa Utunzi.
Kusifu Ni IBADA Ambapo SADAKA Ya Moyo Wa Mtu Hutolewa MADHABAHUNI Kwa Mungu Aliye Hai. Na Mungu Akiona Hilo Hushuka Pale KUIPOKEA…Na Kila Mahali Mungu Ashukapo, Lazima Litokee Badiliko; WAGONJWA HUPONYWA, MASIKINI HUTAJIRISHWA, WALIOCHOKA HUTIWA NGUVU, MATASA HUPATA UWEZO WA KUZAA TENA, WALIOFUNGWA HUFUNGULIWA TENA, WASIOOKOLEWA HUJA KWA YESU!
Kinachotokea Kwenye MADHEHEBU Na Dini Zetu Ni Kwamba KUSIFU Kumekuwa SEHEMU Ya Ibada Na Si IBADA Kamili. Hivyo Uhalisi, Nguvu Na Utukufu Wake Vimepungua!
NDIVYO ILIVYO HATA KWENYE IBADA YA KUABUDU, Inajitegemea Na Ina Thamani Kubwa Mbele Za Mungu Kuliko Watu Wanavyodhani. Ni Ibada Iliyojaa UDHIHIRISHO NA MTEMBEO WA ROHO MTAKATIFU Kama IKIPEWA HADHI YAKE!

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
2 comments on “Kuna Tofauti Kubwa kati ya kuimba wimbo wa sifa na Kusifu
  1. GEOFREY MMARY. MWJ says:

    Nashukuru, Yesu akutumie zaidi. Nimebarikiwa sana na mafundisho hayo. Mwj. Mmary

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: