Kwakweli Sifundishi Neno La Mungu Ili

Kwakweli Sifundishi Neno La Mungu Ili Nipokelewa Na Kukubaliwa Na Kila Mtu, Kuna Jumbe Naandika Hapa Zitawasaidia Watoto Wenu Na Wajukuu Zenu Wakati Huo UTANDAWAZI Umevamia Kanisa, Maana INJILI YA VIWANGO Wanajaribu Kuikwepa Watu, Wanataka INJILI LEGELEGE Za Mafanikio Baraka Nje Ya UHUSIANO NA USHIRIKA NA MUNGU Kwanza!
INJILI ZA KITOTO Zinazohubiriwa Sasa Ambazo Zinakinzana Na NENO LA MUNGU, Huku Watumishi Wa Mungu “WAKILITUMIA ISIVYO SAWA NENO LA KWELI” Huku “WAKIHUKUMIWA NA KUCHOMWA MIOYO YAO” …Neema Haiko Kama KIBALI CHA KUTENDA DHAMBI…DAMU YA YESU HAIKO KWA AJILI YA KUOSHA KILA DHAMBI ZA KUAMUA NA KUKUSUDIA… DAMU YA YESU SIYO “OMO” Ya Kulowekea Kila Nguo Yenye Madoa Ya Dhambi Ambayo Mtu Anayatafuta Mwenyewe Kwa Kigezo Cha “ASIPOCHAFUKA ATAJIFUNZAJE?”
Mtume Paulo Anasema, “BASI TUZIDI KUTENDA DHAMBI ILI NEEMA IZIDI? LA HASHA” Maana Ukweli Ni Kwamba, “NEEMA YA MUNGU IWAOKOAYO WATU WOTE YATUFUNDISHA KUKATAA DHAMBI, UOVU, UCHAFU NA KILA NAMNA ISIYOMPA MUNGU UTUKUFU” (Tito 2:11)!

“Kwa Maana DHAMBI NI UASI NA KILA ATENDAYE DHAMBI NI MUASI…ATENDAYE DHAMBI NI WA IBILISI MAANA IBILISI ATENDA DHAMBI TANGU MWANZO… KWA MAANA WANA WA MUNGU NI DHAHIRI, KADHALIKA NA WANA WA IBILISI PIA…YEYE ATENDAYE HAKI HUYO AMEZALIWA NA MUNGU MAANA YEYE NI MWENYE HAKI”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: