Ukweli usioweza kuupinga kamwe!


Unaweza Kuwadanganya Watu Wote Kuhusu Maisha Yako Ya Kiroho, Lakini Hauwezi Kuwadanganya Mashahidi Hawa Wanne Muhimu;

1.MOYO WAKO
Moyo Wako Unajua HASA Wewe Ni Mali Ya Nani…Moyo Wako Unajua Kama Ukifa Leo Unakwenda Mbinguni Au Jehanamu. Moyo Wako Unajua Umepanda Mbegu Gani Na Aina Gani Ya Matunda Utayavuna… MTUMISHI WA KWANZA WA MUNGU ANAYEKUHUBIRIA WEWE NI MOYO WAKO!

2.MUNGU MWENYEWE
Mungu Pia Anajua Kama “UKO UPANDE WAKE” Au Uko Kinyume Chake!
Anajua Kama Ni Mtakatifu Au Mtenda Dhambi…Anajua Kama Ni Mwenye Haki Au Ni Dhalimu!
Anajua Kama Una Mahusiano Naye Au La!
Anajua Kama Jina Lako Limeandikwa Kwenye Kitabu Cha Uzima Au Kitabu Cha Hukumu!

3.SHETANI
Huyu Anajua Kama Wewe Ni Mali Yake Au Ni Mwana Wa Mungu.
Anajua Kama Ni Mtakatifu Au Mwenye Dhambi.
Anajua Kama Jina Lako Limeandikwa Kwenye Kitabu Cha Uzima Cha Mwanakondoo Au Kama Uko Kwenye Orodha Ya Watakaokuwa Naye Jehanamu.

4.MAWAKALA WA SHETANI (WACHAWI NA MAPEPO).
Hawa Wanajua Wapi Uliko.Wanajua Uko Kwenye Ufalme Gani.
Hawa Wanajua Wakija Kukugusa Kama Wana Mkuta Yesu Na Malaika Wakikulinda Au Kama Wanaingia Kama Anayeingia Tu Kwenye Nyumba Isiyokuwa Na Mlinzi Na Milango Wazi.
Hawa Wanajua Hasa Kama Uko Kwenye Ufalme Wa Mungu Au la!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: