Viwango vya neno la Mungu

 

Unajua KILA WAKATI “UNAPOSIMAMIA VIWANGO VYA NENO LA MUNGU” Automatically Lazima HUKUMU Itatokea!
Yesu Aliwaambia Wale Wayahudi Waliokuwa Wakimsikiliza, “MIMI SIWAHUKUMU, BALI MANENO YANGU NIYASEMAYO NDIYO YATAKAYOWAHUKUMU”
Mara Zote Unaposimamia NENO LA MUNGU Katika KUJENGA HOJA Yoyote, Lazima Ule UPANDE Uliokuwa “UMEVURUGA” Utaonekana Kama UNAHUKUMIWA… NDANI YA KILA NENO LA MUNGU HAKUNA BARAKA, FARAJA, TUMAINI Tu, La Hasha! NA HUKUMU IMO HUMO, HAUWEZI KUKWEPA!
Neno La Mungu Ni UPANGA Usitarajie MAKALI YAKE YAKIMDONDOKEA MTU “ATAFURAHIA TU”… Neno La Mungu Ni NYUNDO, Usitarajie “IKIMDONDOKEA MTU” Atatoka Mara Zote Akisema “HALLELUYAH” Ni Wachache Sana Ambao Neno La Mungu “LIKIWAPIGA” Wanachukulia KAMA FURSA YA KUMSHUKURU MUNGU NA KUTENGENEZA NJIA ZAO…Wanaotengeneza BAADA YA KUDONDOKEWA NA NENO LENYE MAKALI KUWILI Hao Ndio BWANA Anawaita “WATU WENYE MOYO ULIOPONDEKA, WATETEMEKAO WALISIKIAPO NENO LAKE”

Mathalani Nikifanyacho Kikiwa Kwa Ajili Ya KULINDA MASLAHI YA UFALME WA MUNGU, Nitahoji, Nitakagua, Nitakosoa Kila Jambo Kwa KIPIMO CHA NENO LA MUNGU!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: