KAULI YANGU YA SIKU

“Sababu Kubwa Ya Yesu Kufufuka Na Kurudi Akiwa Na Mwili Wenye Alama Za Misumari Mkononi Na Miguuni, Michubuko Ya Mijeledi Mwili Mzima, Na Tundu Katika Ubavu Wake Si Kwa Ajili Ya USHAHIDI TU Kuwa Aliteswa, Alikwenda Msalabani Na Kaburini Kwa Ajili Yetu… Bali Ni Kudhibitisha Kuwa YEYE NI MUNGU; UHAI WAKE HAKUNA ALIYEMWONDOLEA, ALIUTOA MWENYEWE NA KUUTWAA TENA, Kama Mtu ANVYOVUA NA KUVAA NGUO, Kama Alivyosema Wakati Akiwa Hai… LENGO KUBWA LA YOTE HAYO Ni Ili Sisi WAKRISTO WA KIZAZI HIKI TUJUE NA KUAMINI Kila Neno La Mungu Lililo Ndani Ya Biblia Kwa Kuwa Hakika LITATIMIA Na KUDHIHIRIKA WAZIWAZI Kwa Kila Atakayeliamini Na Kuliishi”

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: