SI KUSOMA NA KUKARIRI TU MISTARI YA BIBLIA!

image

Hata UKIKARIRI Mistari Yote Ya BIBLIA, Toka Mwanzo Mpaka Ufunuo, Kama “USIPOIISHI NA KUIFANYA MFUMO WAKO WA MAISHA WA KILA SIKU” Nakuhakikishia “HAUTAMBABAISHA SHETANI HATA SIKU MOJA”
Shetani Anawaogopa “WATU WENYE KUTII NA KUTENDA NENO LA MUNGU” Wale Wanaosoma Tu Na Kulikariri Bila Kuliishi Hawampi Tabu!

Ni Muhimu Pia Ujue Kuwa “HATA SHETANI AMEKARIRI MISTARI YA BIBLIA” Ila Yeye “HATENDI NENO”

Ukisoma Luka 4 Wakati Anamjaribu Yesu, Alitumia ANDIKO Toka ZABURI 91, Lakini Kwa Lengo La Kupotosha Na Kuharibu!
Alisema, “KWA MAANA IMEANDIKWA, ATAKUAGIZIA MALAIKA ZAKE WAKUCHUKUE MIKONONI MWAO ILI USIJE JIKWAA MGUU WAKO KATIKA JIWE”

Shetani “AMEKARIRI MAANDIKO YOTE” Kinachoweza “KUMFANYA ATII PALE UNAPOMWAMURU, NA ATENDE SAWA NA AMRI YAKO NI KAMA TU WEWE NI MTENDAJI WA NENO UNALOSOMA AU UNALOFUNDISHWA”

Jichunguze, Zingatia Hili; Kama Hautakuwa Mtendaji Wa Neno, Shetani Hatababaishwa Na Maneno Yako, Maombi Yako, Nakadhalika Maana Hayatakuwa Na NGUVU YA KUBADILISHA MAMBO!
Kila Unapokataa KUTII NENO (Yaani Kwa Kutenda Lolote Nje Ya Neno), Unakuwa UMEKATAA KUMTII YESU, MAANA YESU NI NENO (Yohana 1:1-5, 14)~

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
2 comments on “SI KUSOMA NA KUKARIRI TU MISTARI YA BIBLIA!
  1. EMMANUEL SONGA says:

    Nimependa Sana Mafundisho Haya.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: