Nataka Nikuhakikishie Kitu Kimoja

wale wamchao

“MUNGU ANA UPENDELEO” Na Siku Zote Yuko Karibu Na Wale “WANAOMCHA… WALE WATENDAO YALE YOTE ALIYOAGIZA”

Usiishie Kusoma Sehemu Tu Ya Kwanza Ya Matendo 10:34… “HAKIKA MUNGU HANA UPENDELEO…”
Malizia Kipande Cha Mwisho, “BALI KATIKA KILA TAIFA KILA MTU AMCHAYE (MCHA MUNGU- MWENYE HOFU YA MUNGU) NA KUTENDA HAKI HUKUBALIWA NA YEYE” (Matendo 10:35).

Tunaposema Mungu Hana Upendeleo, Ina Maana Mungu Yuko Tayari Kujishughulisha Na Kuwa Na Ukaribu Na Mtu Wa Aina Yoyote Bila Kujali Rangi, Utaifa, Kabila Nakadhalika Ilimradi Tu “AWE MCHA MUNGU NA AWE MTENDA HAKI”

Ninatangaza Kwa Uwazi, Mungu Ana Upendeleo, Anatupendelea WACHA MUNGU NA WATENDA HAKI… Kuna Mengi Tunapata Ambayo ASIYE MCHA NA KUTENDA HAKI Hawezi Kuja Kupata.

Wewe Mche Mungu, Kisha Tenda Haki (Tenda Sawa Na NENO, Ishi Kwa Viwango Vya NENO) HALAFU “UPENDELEO WA MUNGU” UTAONEKANA KWAKO~

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: