Ninapouleta Ujumbe Hapa

Neno la Mungu

,Namlenga Mtu 1 tu, Ambaye Ataelewa Vizuri, Kisha Naye Akamuelekeze Mtu 1 Vizuri Aelewe Kati Ya Wengi Atakaowaelekeza, Halafu Na Huyo Mtu 1 Amuelekeze Mtu 1, Na Huyo Mtu 1 Amuelekeze Mwingine Mtu 1, Na Huyo Mtu 1 Amsaidie Mtu 1, Na Huyo Mtu 1 Naye Afanye Kitu Kwa Mtu 1 Na Kuendeleaaaaaaaa, Infinite~

Kama Ilivyo Kwa Baba Yangu Wa Mbinguni, NAMKUSUDIA Mtu 1 tu, Atakayeelewa Na Kutenda Na Kuleta Mapinduzi Yasiyoweza KUKANUSHWA WALA KUFUTWA Maana Yametokana Na KUTENDA NENO LA MUNGU LISILOSEMA UONGO~

Chochote Utakachojifunza Hapa, Kikakubariki, Au Kukujenga, Au Kukuongezea Kitu, Tafadhali Uwe Huru Ku-Share, Ku-Copy Na Kuandika Kwenye Wall Yako Au Kwenye Groups Ulizomo, Au Kwenye Blog Au Media Yoyote Uwezayo… Hata Ukiweza Ku-copy Kwenye Notisi Zako Na Kuwafundisha Wengine Huko Makanisani, Fellowship, WEWE FANYA KADRI UWEZAVYO… TUFANYE TUWEZAVYO TUWAJENGE WENGI KWA KWELI ZA NENO LA MUNGU~

Jambo La Mwisho, Tafadhali Wajulishe Marafiki Zako Walioko FACEBOOK Wanitumie FRIEND REQUEST Ili Na Wao Wapate HIZI HAZINA ZA UFALME WA MUNGU~

Baraka Za BWANA Ziwe Nasi Milele, Amen.
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: