Huu Ndio Ukweli Wa Mambo

Ukweli wa mambo

1.Ni Rahisi Kwa Mtu Ambaye Hana ELIMU KUBWA YA DARASANI (FORMAL EDUCATION) Kupata MUUJIZA AU KUTENDEWA JEMA NA MUNGU Kuliko Wale Ambao Ni WASOMI… Kinachowaponza WASOMI, “WANATAKA KUONA KWANZA NDIPO WAAMINI” Au “WANATAKA USHAHIDI NA UTHIBITISHO WA KITAALUMA KUHUSU MUNGU AU KILE NENO LA MUNGU LIMESEMA”
WASOMI Wanataka KUFIKIRI, KUWAZA NA KUWAZUA SANAAA NDIPO WAAMINI AU KUPOKEA CHA MUNGU… Lakini Yule Ambaye HANA ELIMU KABISA AU HANA ELIMU KUBWA, NI RAHISI SANA KUPOKEA MUUJIZA WAKE NA KILE ATAKACHO TOKA KWA MUNGU Maana Kila Anaposikia HAJIULIZIULIZI MARA MBILIMBILI, ANAPOKEA KAMA ILIVYO NA KUAMINI, NA “MARA MOJA” ANAUPATA MUUJIZA WAKE~
“Mungu Huwapinga Wenye Kiburi Bali Huwapa Neema Wanyenyekevu”
“Bali Hekima Ya Ulimwengu Huu Ni Upumbavu Mbele Za Mungu”
“Maana Mungu HUWANASA Wenye Hekima Katika Hekima Yao”

2.Ni Rahisi Kwa MPAGANI Kupokea Muujiza Kama Akilisikia NENO Kuliko Mkristo Aliye Na Miaka Kadhaa Kwenye Wokovu.
Ni Rahisi Kwa Mwamini Mpya (New Believer) Kupokea Muujiza Kuliko Yule Mkristo Wa Muda Mrefu Kanisani.
Kinachowaponza Wakristo Wa Zamani, Waliookoka Miaka Kadhaa Huko Nyuma, Ni Kwamba Wanadhani Wanajua Kila Kitu… Wanajua Sana Maandiko Lakini Hawajui Namna Ya Kuchukua Ufunuo Ndani Ya Maandiko Na Kuutenda Ili Uwape Miujiza.
Wanadhani Mungu Atawafuata Pale Walipo Kuwapa Miujiza Badala Ya Wao KUPANDA NA KUKUBALIANA NA KILE NENO LIMESEMA NA WAKATENDA NA KUPOKEA MIUJIZA YAO~

Kama Ningeletewa Wagonjwa Wawili, Mmoja MSOMI SANA Na Mwingine ASIYE NA ELIMU KUBWA AU ASIYE NA ELIMU KABISA, Ili Niwaombee UPONYAJI, Ningeanza Kumwombea Mwenye ELIMU NDOGO Maana Najua Ni Rahisi Kwake Kupokea UPONYAJI, Halafu Ningemtumia KAMA USHAHIDI Ili Kumsaidia Na Yule Msomi Sana AELEWE NA KUPOKEA UPONYAJI WAKE~

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: