Kuwa Tu MKRISTO, Tayari Umelamba Dume

Mkristo

… Maana Jicho La Mungu Halikuangalii Kwa Namna Ya Vile Ulivyo Sasa Au Kile Ulichonacho Sasa Bali Kwa Vile Ambavyo Mungu Atakupatia Na Kukurithisha Kwa Vile Tu “U MRITHI URITHIYE VYA MUNGU PAMOJA NA KRISTO” (Warumi 8:17).

Usitege Masikio Kwa Kauli Za Wanadamu Au Hisia Zako Zinavyokueleza… Wewe Si Vile Wanavyokuita Au Kukusema Ama Vile Unahisi… Wewe Ni Vile NENO LA MUNGU LIMESEMA JUU YAKO NA KESHO YAKO… “MAWAZO YA AMANI NA SI YA MABAYA; KUKUPA TUMAINI KATIKA KESHO YAKO” (Yeremia 29:11).

Waache Wengine Walie, Usilie Kwa Sababu KIBAO ULICHOPIGWA NDICHO WALICHOPIGWA… Wewe Ni Wa Tofauti; “BWANA ATAYAFUTA MACHOZI KWENYE MACHO YAKO”

Mungu Akiwa Upande Wako, Ni Nani Au Nini Kitakuwa Juu Yako?
Mwamini Mungu, Hata Akikawia Lakini Atatenda Sawa Na Ahadi Ya Neno Lake~

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: