Mungu ni Mungu wa Huruma

Mwenye Huruma

Ni Kweli Mungu Ni Mungu Wa Huruma, Mungu Ni Mungu Wa Rehema Na Neema, Mungu Ni Mungu Wa Upendo; Lakini Nataka Ujue Jambo Moja La Muhimu Kuhusu Yeye, “HAWEZI KUMPA YEYOTE CHOCHOTE KAMA IMANI YA HUYO MTU HAIJAKUA NA KUWA KATIKA MSTARI NA IMANI YA MUNGU”

Imani Ya Mungu Ni Ipi?
Imani Ya Mungu Ni Ile Isemayo, “MAMBO YOTE YANAWEZEKANA”

Na Kama Mwanadamu Hajawa Na Imani Kubwa Kuhusu Jambo Au Kitu Anachokitaka Kwa Mungu, Kiasi Cha MOYONI MWAKE Kujengeka Msimamo Wa “YOTE YANAWEZEKANA” Na Ukawa Halisi Kwake Kiasi Cha Kuanza “KUUZUNGMZA NJE KWA MANENO YAKE” Huyo “HAWEZI KUPOKEA KITU TOKA KWA BWANA”

Mwanamke Aliyetokwa Na Damu Kwa Miaka 12, Alikuwa Amefikia Hatua Hii Ya Imani Yake KUWA KWENYE MSTARI MMOJA NA IMANI YA MUNGU; HAKWENDA KWA YESU “KUJARIBU KUPOKEA UPONYAJI WAKE” Bali Alikwenda KUPONA~

Maana Alishakuwa Na UHAKIKA MOYONI MWAKE, Ukawa Halisi Kwake Kiasi Cha Kuanza KUUSEMA KWA KINYWA CHAKE… Na Hapohapo MACHO YAKE YAKAFUMBULIWA Akaona FURSA KWENYE VAZI LA YESU Ambayo Wote WALIOMZUNGUKA YESU Hawakuwa WAMEIONA~

Naipenda IMANI; Huyaleta Yasiyokuwepo Kwenye UHALISI
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: