Mke Toka Kwa BWANA,

Mke kutoka kwa bwana
1.Atakuwa Wa IMANI MOJA NA WEWE (Hawezi Kuwa Nje ya Ufalme Wa Mungu Unayemwabudu Na Kumtumikia)…

2.Atakuwa ANA MAONO YANAYOENDANA NAWE (Atakuwa Anaelekea Njia Moja Nawe Kihuduma Na Kimtazamo; WATU WAWILI HAWAWEZI KWENDA NJIA MOJA WASIPOPATANA)…

3.Utakapoonana Naye Au Kukutana Naye “NDANI YAKO UTAJUA” Ya Kuwa UNAMHITAJI, Na Ukienda KUELEZA SERA ZAKO “Hata Yeye Atakuwa ALIKUWA ANASUBIRIA HIYO FURSA”

4.Kama Ametoka Kwa Mungu, Moyo Wake Na Maisha Yake Atakuwa Tayari KUKOSA YOTE AU KUMKOSA YEYOTE LAKINI ASIPOTEZE USHIRIKA NA MUNGU; KWAKE Itakuwa “MUNGU KWANZA, HALAFU MENGINE BAADAYE”…

5.Kiwango Chake CHA KUMJUA MUNGU HAKIWEZI KUWA JUU YA KILE CHA KWAKO, WALA MTAZAMO WAKE WA MAISHA HAUWEZI KUWA JUU YA ULE ULIONAO WEWE; KWAKUWA KAMA ANAKUZIDI KIROHO NA KIMTAZAMO, BASI YEYE “ATAKUWA KICHWA BADALA YAKO” Kitu Ambacho Si Sawa KIBIBLIA…LAZIMA UWE NA MSAIDIZI WA “KUFANANA NAYE” AU AMBAYE ANAKUKARIBIA WEWE, UTAKAYEMUONGOZA WEWE NA KUMSHIRIKISHA “KUSUDI LA MUNGU MAISHANI MWAKO AMBALO YEYE ATAKUWA ANAKUSAIDIA KULITIMIZA HAPA DUNIANI KAMA MSAIDIZI WAKO”….

Naamini Ndugu Uwimana Nick Brown Na Wote MLIOKUWA MNASUMBUKA HAPA, MUNGU AMEWAJIBU.

Mungu Awabariki,

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: