Usikubali Kukumbushwa Dhambi ambazo ulishazitubia

Usikubali

Kila Muda Shetani Akikuletea WAZO LA KUKUMBUSHA MAKOSA NA DHAMBI ZAKO ZA JANA AMBAZO UMEZITUBIA NA MUNGU AKAKUSAMEHE SAWA NA NENO LAKE; Wewe Nawe MKUMBUSHE KESHO YAKE MOTONI PAMOJA NA WATENDA KAZI WAKE.

Yeye Anaweza Kutuhukumu Na Kutushambulia Kwa MASHTAKA YALIYOKWISHA SAMEHEWA AU YANAYOWEZA KUFUTWA KWA DAMU YA YESU, Lakini Sisi TUNAWEZA KUMSHAMBULIA KWA “UKWELI” ASIOWEZA KUUBADILI MILELEL, KUWA “JEHANAMU PATAKUWA MAKAO YAKE YA MILELE NA AMEPOTEA MILELE”

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: