Fedha Au Dhahabu Sina Ya Kukupa

maombi

Fedha Au Dhahabu Sina Ya Kukupa, Ila Ninacho Kitu Kikubwa Kuliko Hivyo Nataka Kukupa Usiku Huu;

“KWA JINA LA YESU WA NAZARETI, KILA AMBACHO ADUI ALIKUWA AMEKIHARIBU, AMEKUIBIA AU AMEKIUA KWENYE MWILI WAKO, NAFSI AU ROHO YAKO, AU KWENYE MAISHA YAKO YA KILA SIKU, KIWE HAI TENA, KIKUREJEE TENA, KILICHOKUWA KIMEHARIBIWA KIUMBIKE NA KUHUISHWA TENA KA JINA LA YESU… KILA HATUA YAKO ILIYOKUWA IMEZUIWA NA ADUI IACHILIWE MARA MOJA SASA KATIKA JINA LA YESU… KILA PEPO, JINI, MCHAWI AU NGUVU YOYOTE YA GIZA ILIYOKUWA INAKUKWAMISHA NAITIA PINGU KWA DAMU YA YESU NA KUISETA HATA KUZIMU… KWA JINA LA YESU WA NAZARETI, MKONO WA MUNGU UMEYAKOMESHA MATESO JUU YAKO, NA WALA HAYATAINUKA MARA YA PILI…KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI… IMEKUWA, AMEN…MPE MUNGU UTUKUFU, ONESHA FURAHA YAKO, UKO HURU”

Kuanzia Sasa, Kaa Mkao Wa Kuona Mema, Utaanza Kupokea BARAKA Juu Ya Baraka…Utapokea Kila Stahili Yako Kuanzia Muda Huu, Kila Haki Yako Na Fungu Lako Utalipokea KABLA YA JUMAPILI YA WIKI HII.

Mwamini Mungu Ili Udhibitike, Waamini Watumishi Wake UKAISHI.

Andika AMEN, Kuonesha Imani Yako Juu Ya Nilichoomba… Lakini Pia Nataka Kukuombea KWA JINA LAKO USIKU WA LEO.

Wewe Ni Mbarikiwa, Wewe Ni Mtu Mkuu, Mungu Amekuumba Uwe Hivyo.

Pokea Kwa Jina Kuu La Yesu,
amen
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: