Kwa Mlioko Dar Na Mnatamani Tuonane

TAFADHALI SOMA HII, NA WALE MLIOKO NJE YA MJI PIA NIMEWEKA MAWASILIANO YANGU HAPA.

Dar es Salaam

Bwana Yesu Asifiwe,
Najua Kuna Watu Ambao Mna Shauku Ya Kuniona Kwa Ajili Ya Kushirikishana Maswala Mawili Matatu Ya Kimaisha, Au Kubadilishana Mawazo Na Kuelekezana Kuhusu Maisha Kwa Ujumla. (ENENDA NA WENYE HEKIMA NAWE UTAKUWA NA HEKIMA).

Pia Kuna Wengine Mnatamani Kuniona Kwa Ajili Ya Maswala Ya KIROHO, Aidha Unataka Ushauri, Au Kuna Eneo Fulani Umekwama Kiroho Unahitaji Msaada, Au Ni Mtumishi Wa Mungu Pia, Na Ungependa Kuniona Tubadilishane Mawazo Na Kutiana Moyo (CHUMA HUNOA CHUMA).

Lakini Pia Kuna Wale Ambao Wana KESI Mbalimbali Za Kiroho Kama MAGONJWA, Na Wanahitaji Msaada Na Wanaamini Mungu Amenipa Neema Ya Kuwasaidia Kimafundisho Na Kisha Kuwaombea Au Kuwaelekeza Namna Ya Kutoka Katika Mateso Hayo.
BILA KUJALI AINA YA UGONJWA; UWE UNATIBIKA AU HAUTIBIKI HOSPITALI, KWA YESU HIYO SI KESI, NI MCHEZO MDOGO.

Lakini Kuna Wale Ambao Wana Changamoto Kwenye Shughuli Zao; Kazi, Biashara, Ufugaji Nakadhalika, Na Wangependa Yesu Aingilie Kati, Nawakaribisha Pia, Maana Hilo Nalo Si Tatizo.
Nitakuwepo,NA KAMA ELISHA ALIVYOTIA CHUMVI KWENYE ARDHI INAYOZAA MAPOOZA NA IKAPONYWA; NA MUNGU ATATUPA UFUNUO WA KUKUTOA HAPO ULIPO.

Kuna Wale Ambao Wanajijua Ya Kuwa Wanateswa Na NGUVU ZA GIZA; Majini, Mapepo, Mizimu, Uchawi Nakadhalika, Na Wangetamani Kufunguliwa, Pia Usisite Wala Kuhofu, YESU ALIDHIHIRISHWA ILI AZIVUNJE KAZI ZA IBILISI.

Kama Unataka Kuniona, Tuwasiliane Kwanza Kwa Simu;
0655 466 675

Wale Mlioko MIKOANI, SIJAWASAHAU; KWA LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA HIYOHIYO YA SIMU.

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: