kwa wale waliooa tu

Wanandoa

Kule Kujua Kuwa MKE WAKO NI MKE SAHIHI TOKA KWA BWANA, SI GARANTII KUWA KILA KITU KWENYE NDOA YENU KITATELEZA TUU KAMA “KONOKONO”

NI MUHIMU UJUE KUWA WEWE MME UNA SEHEMU KUBWA SANA YA KUIFANYA NDOA YAKO IWE “EDENI”

USIPOJUA KUWA BAADA YA KUOA “MKE SAHIHI TOKA KWA BWANA” KUNA WAJIBU WA “KUAMBATANA NAYE” NA KUWA ” MWILI MMOJA”
KISHA MKAWA “BEGA KWA BEGA” KWENYE KILA KITU UKIFANYACHO, YEYE MKEO “TOKA KWA BWANA” AKIWA “MSAIDIZI WAKO”… BADALA YAKE UKADHANI KWA KUWA UMEHAKIKISHA “AMETOKA KWA BWANA” BASI ATAFANYA KILA KITU VEMA “AUTOMATICALLY” BILA KUPATA MAELEKEZO AU MWONGOZO TOKA KWAKO WEWE “MBEBA MAONO”
NAKUHAKIKISHIA UTAMKUTA MKEO HUYOHUYO “TOKA KWA BWANA” AMEDANGANYWA NA “NYOKA” NA KULA MATUNDA YA “MTI WA UJUZI WA MEMA NA MABAYA”
HALAFU ATAKUPA NA WEWE UTAKULA, NA KISHA MUNGU AKIJA KUKUULIZA, UTAJITETEA, “HUYU MKE ULIYENIPA NDIYE KANIPONZA”

KUPATA MKE “TOKA KWA BWANA” NI JAMBO MOJA, ILA KUJUA “KUISHI NAYE KWA AKILI” NA KUMPA NAFASI YAKE “YA MSAIDIZI” HUKU WEWE KAMA “KICHWA CHA FAMILIA” UKITOA MWONGOZO, NI JAMBO JINGINE.

LAITI ADAMU ANGEJUA KUWA KUWA NA MKE AMBAYE NI “NYAMA KATIKA NYAMA ZAKE NA MIFUPA KATIKA MIFUPA YAKE” NI JAMBO MOJA, NA KUMSHIRIKISHA VEMA “MAONO ALIYOBEBA” YEYE ADAMU KAMA KICHWA, NA KUMPA NAFASI YA KUWA “MTENDA KAZI PAMOJA NAYE” NI JAMBO JINGINE… ASINGEMUACHA NYUMBANI “AWE GOLIKIPA” BALI ANGEAMBATANA NAYE “KULITUMIKIA KUSUDI LA MUNGU” NA WALA NYOKA ASINGEPATA “MLANGO” WA KUIANGUSHA FAMILIA YA MZEE ADAMU NA WANADAMU KWA UJUMLA!

Mimi Sijaoa, Lakini NAIAMINI HEKIMA YA MUNGU (NENO LA MUNGU) Kwenye Kila Jambo, Lina UZOEFU Kuliko JUBILEE YA NDOA.

Baba Yangu Katika BWANA, Pastor Carlos Ricky Wilson Kirimbai Naomba Unikague Kama UFUNUO HUU Unatoka JUU Au “NIMEMSINGIZIA” ROHO MTAKATIFU.

Pia Baba Zangu Marafiki Daniel Moses Kulola, Athanase Camilly, Sylvester Gamanywa, Dickson Mtalitinya, Pastor-Donis And-Nnunu Nkone, Mwansasu Lazarus, Florian Katunzi Mnaweza Sasa Kuyaamini MAFUTA YALIYOMO NDANI YANGU; YATUFUNDISHAYO YOTE NA KUNIPA FURSA KUFUNDISHA “SHULE YA JUMAPILI” Madhabahuni Kwenu???

Nawapenda Sana, Naendelea Kujifunza Mengi Kwenu, Japo Wengine Mlikuwa Hamjui Hata Hilo… Naithamini Kazi Ya Mungu Mnayoitenda!

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: