Mkristo Si Masikini Hata Kama Kwa Nje Anaonekana Hivyo

..

“MKRISTO SI MASIKINI HATA KAMA KWA NJE ANAONEKANA HIVYO; NI TAJIRI ANAYESUBIRIA MUDA WA KURITHISHWA MALI NA BABA YAKE WA MBINGUNI”
Hii Ndiyo Nimeisikia Kwa Roho Wa Mungu Sekunde Kadhaa Zilizopita.

Nilipotaka Uthibitisho Akanikumbusha Habari Za MRITHI Toka Kwa Paulo;
“Lakini Nasema Ya Kuwa Mrithi, Awapo MTOTO, Hana Tofauti Na Mtumwa, INGAWA NI BWANA WA YOTE [NDIYE MWENYE MALI]” (Wagalatia 4:1).

Tulipookoka, Na Kumwamini Yesu, “TULIFANYIKA KUWA WATOTO WA MUNGU” (Yohana 1:12).

Mungu Anaendelea KUTULEA TARATIBU Kupitia KILA CHANGAMOTO NA MAJARIBU… TUKIKOMAA NA KUFIKIA HATUA YA KUWA “WANA WA MUNGU” Kama Yesu Alivyo… MEMA YATAKUWA HABARI YETU YA KILA SIKU; MUNGU ATAIAMURU BARAKA IJE JUU YETU NA ITUPATE (Kumbukumbu 28:8).

Mimi Ni TAJIRI MKUBWA, NAJIELEWA NA KUJITAMBUA HIVYO; NAWAZA NAMNA HIYO, NAONGEA NAMNA HIYO NA KUTENDA NAMNA HIYO.
Kesho Itakuwa Zamu Ya Wale WASIOAMINI, Wanaoishi “KWA KUONA” Kushuhudia Hiki Ninachosema KWA MACHO YAO; ILA KWANGU HALITAKUWA JAMBO GENI!

Am Destined To Reign,
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: