Namshukuru Mungu Kwa Kila Ombi

Asante Mungu!Namshukuru Mungu Kwa Kila Ombi Langu Ambalo HAKULIJIBU AU ALILIJIBU HAPANA AU KINYUME NA MATARAJIO YANGU/ MATAKWA YANGU.
Kuna MAJANGA MENGI Nimekwepa Kwa Vile Mungu HAKUNIJIBU SAWA NA NILIVYOTAKA.
Kama Mungu Angenijibu Kila OMBI Sawa Na Nitakavyo; HAKIKA LEO NISINGEKUWA MWALIMU WA NENO LA MUNGU, NINGEKUWA NIMEHARIBIKIWA KABISA.
Na Kuharibikiwa Kwangu Kungekuathiri Na Wewe UNAYEPATA VITU VYA MUHIMU KUPITIA KWANGU.

Mungu Asipokujibu Maombi Yako KWA NDIYO Bali HAPANA; ANAKUSAIDIA ILI USIPOTEE NA KUPOTEZA KILE AMBACHO AMEWEKA NDANI YAKO KUGUSA MAISHA YA WENGI.
Lakini Pia Mungu Asipokujibu Sawa Na MATARAJIO AU MATAKWA YAKO; Anajua HASARA AMBAYO UNAWEZA KUKUTANA NAYO MBELENI KAMA UKIPATA HICHO UTAKACHO LEO… Mungu Anaona Hatua Nyingi Mbele Yetu, MWAMINI NA MRUHUSU AKUSAIDIE… Hata Kama GIZA LIKITANDA NA ASIPOKUJIBU SAWA NA MATAKWA YAKO, BADO ATAKUPA MLANGO WA KUTOKEA… HATAKUACHA YATIMA WALA HATAKUPUNGUKIA!

Iamini BUSARA YA MUNGU, Iruhusu HEKIMA YA MUNGU… Elewa Kuwa Mungu ANAKUWAZIA MAWAZO MEMA NA YA AMANI… ANAKUPENDA MNO KIASI CHA KUTOTAKA BAYA LOLOTE LIKUTOKEE… Mruhusu Mungu Akusaidie… YARUHUSU MAPENZI YAKE!

Nakushukuru Mungu Kwa Maombi Mengi Ambayo HUKUNIJIBU KAMA VILE NIPENDAVYO… ASANTE KWA KUNINUSURU!

Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: