SIRI YA UTAUWA NI KUU

yesu

Mungu aliuchukua mwili, akaja kwetu tukamwita yesu… Raha sana kujua mambo ya rohoni!
Na Bila Shaka Siri Ya Utauwa Ni Kuu.
MUNGU ALIDHIHIRISHWA KATIKA MWILI,
Akajulikana Kuwa Na Haki Katika Roho,
Akahubiriwa Katika Mataifa,
Akaaminiwa Katika Ulimwengu,
AKACHUKULIWA JUU KATIKA UTUKUFU.
( 1 Timotheo 3:16).

Hili Andiko Linakomesha Kila UJINGA WA KUTOJUA YA KUWA YESU ALIKUWA MUNGU KATIKA MWILI… NIKO KWENYE MAPENZI MAZITO NALO!

Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “SIRI YA UTAUWA NI KUU
  1. ABILAM SAUL says:

    Kweli yesu ni mungu. tito 2:13

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: