Yesu Ni hai na halisi

Joshua

Ni rahisi kusema “Joshua alisimamisha jua” lakini kwakweli alifanya jambo kubwa kuliko hilo!
Ukweli wa mambo, “Joshua alizuia dunia isilizunguke jua; yaani ikae palepale ilipokuwa imefika wakati ule anatoa tamko; maana tunajua jua liko palepale, na dunia ndiyo inayolizunguka jua”

ukiwa na roho wa mungu unaweza kuelewa zaidi ya jiografia na sayansi; neno la mungu ni akili ya mungu iliyoumba jiografia na sayansi!

Hizi zama tulizomo watu wa mungu; ni zama za ufunuo, nguvu na udhihirisho wa mungu kwa ishara, maajabu na ajabu za aina nyingi, ilimradi kila linalofanyika linaleta watu kwa Yesu kutoka dhambini na chini ya utawala wa nguvu za giza!

Lazima tuifanye halisi yoeli 2:28, iliyokuwa halisi tangu matendo 2:17… Mimi naanza, wengine nifuateni nyuma; wa kunitukana na kuuliza nafanya hayo kwa amri ya nani, pia nawasubiri!

Yesu ni halisi, Yesu yu hai, roho mtakatifu yuko ndani yetu kudhihirisha ukweli huo ya kuwa kazi zote alizofanya Yesu tunaweza kufanya bila hata kuumiza kichwa, ili mradi tunamwamini (Yohana 14:12, Waebrania 13:8).

Yesu si maneno; Yesu ni hai na halisi; Yesu anadhihirika kupitia kazi zake!

Mwl d.c.k

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: